Lile fumbo tuliokuwa tumefumbiwa na Mwanadada Mrembo na Mjasiria Mali Jokate la mtu kumyima usingizi sababu ya Penzi lake limefumbuliwa na imebainika kuwa mtu huyu ni Mwanamuziki Ali Kiba...
Ila Wadakuz wa Ubuyu wanasema huenda watu hawa ni wapenzi wa siri wa muda mrefu kwani wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara sehemu za Starehe na Jokate mara kwa mara huenda nyumbani kwa Ali Kiba bila Sababu yoyote....
Baada ya Jipu kupasuka Jokate alihojiwa lakini akashindwa kusema chochote na kuishia kujichekesha tu ,,,,
Tuesday, May 12, 2015
Home »
Hot za Bongo
» Siri yafichuka Kumbe ni Ali Kiba Ndio Anaye Mnyima Usingizi Mrembo
JOKATE
0 comments:
Post a Comment