Chris Brown aliamua kwenda na mwanae Royalty kwenye tuzo za Billboard Music Awards zilizofanyika Jumapili hii.
Staa huyo alizunguka na kupiga picha kwenye red carpet na mtoto huyo mwenye umri wa miezi 11 sasa.
Baba yake Royalty alikuwa ametajwa kuwania vipengele vitatu kwenye tuzo hizo.
0 comments:
Post a Comment