Sunday, May 17, 2015

Mapenzi Au Pesa: Wolper Atoboa Anachoshobokea

Hapa na Pale: Kufuatia kuibuka kwa mabishano juu ya nini kinamata kwenye mahusiano kati ya ufundi wa mapenzi au pesa, watu mablimbali wamekuwa wakifunguka mitazamo yao juu swala hili.Staa mrembo wa Bongo Movies, Jackline Wolper naye amefunguka kuwa yeye ni team pesa.

Kupitia ukurasa wake mtandaoni Wolper aliandika kuwa japo anapenda ufundi kidogo lakini yeye anapenda pesa na kuelezakuwa yeye mwenyewe ni fundi.
“Me team chapaaaa ufundi nashobokea kwa mbaliiii siuzimii sana maana me mwenyewe fundi seremala chaaaaaa”-Wolper aliandika mala baada ya kuweka picha ya kanga iliyoandikwa maneno ‘Mapenzi Pesa, Ufundi Peleja Veta'.
Wewe je upo team gani? funguka

0 comments:

Post a Comment