Saturday, May 2, 2015

KAMA ULIKOSA KWENYE ZARI ALL WHITE PARTY BASI TAZAMA HAPA VIDEO ZA TUKIO ZIMA


[adsenseyu1]


Zari All White Party ilivutia umati mkubwa wa watu Ijumaa hii. Party hiyo ya kishua iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam ilihudhuriwa na mastaa kibao wakiongozwa na Diamond na mchumba wake Zari, rapper wa Afrika Kusini, AKA, mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi na wengine. Tazama video za hapo chini za burudani na mambo yalivyokuwa.


















[adsenseyu2]









0 comments:

Post a Comment