Diamond Platnumz aliitumia ziara ya Uingereza hivi karibuni kufanya interview na idhaa mbalimbali za shirika la utangazaji la Uingereza, BBC. Hii ni interview na mtangazaji wa BBC Africa, Jenny Horrocks. Isikilize hapo chini...
Last year, Snoop Dogg revealed to Jimmy Kimmel that he once showed up to the White House stoned and then got even higher in one of its many bathrooms.
White House logs have confirmed Snoop was a visitor in December of 2013
The 43-year old elaborated...
Nicki Minaj and Beyonce dropped their much anticipated ‘Feeling Myself’ video today on TIDAL. It’s supposed to be on Jay Z’s site exclusively, so who knows how long this YouTube video will be up. But it works for now:
What will last forever is the screenshot...
Baada ya picha chafu za Shilole kusambaa mtandaoni hadi kupelekea BASATA kumuandikia barua ya onyo, muimbaji huyo wa ‘Nakomaa na Jiji’ amevunja ukimya.
Shilole amesema kuwa hata yeye hakupenda kile kilichotokea jukwaani wakati akitumbuiza Ubelgiji hivi karibuni, kwa...
Chris Brown's daughter Royalty pictured for the first time as her mother takes baby to visit him on tour bus
She's just nine months old, but Chris Brown's daughter Royalty got the VIP treatment as she visited her father on Monday.
With the controversial rapper performing...
Chris Brown aliamua kwenda na mwanae Royalty kwenye tuzo za Billboard Music Awards zilizofanyika Jumapili hii.
Staa huyo alizunguka na kupiga picha kwenye red carpet na mtoto huyo mwenye umri wa miezi 11 sasa.
Baba yake Royalty alikuwa ametajwa kuwania vipengele vitatu...
Hapa na Pale: Kufuatia kuibuka kwa mabishano juu ya nini kinamata kwenye mahusiano kati ya ufundi wa mapenzi au pesa, watu mablimbali wamekuwa wakifunguka mitazamo yao juu swala hili.Staa mrembo wa Bongo Movies, Jackline Wolper naye amefunguka kuwa yeye ni team pesa.
Kupitia...
Staa Mmoja Maarufu Jina Kapuni kwenye Tasnia ya Bongo Flava Amejikuta katika Aibu Kubwa Baada ya Kufumwa Akibinjuka na Msichana ambae jina halikuweza fahamika kwenye choo cha Club Moja Maarufu Hapa Dar, Walipoulizwa inadawa walijitetea kuwa wamezidiwa. Udaku...
She just can’t seem to keep her clothes on! Kim Kardashian did yet another naked photo shoot shown on May 10th's Keeping Up With the Kardashians episode, but revealed she’s still very insecure about her body despite being constantly nude.
The...
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michel ‘Lulu’amesema kuwa nyumba aliyomzawadia mama yake siyo ya kuhongwa bali amejenga mwenywe.
Lulu alieleza hayo kwenye mahojiano aliyoyafanya na kipindi cha televisheni cha The Sporah Show.
Je lulu aliwezaje...
Wema Sepetu hampendi tena Diamond Platnumz na anasema kila anapoukumbua uhusiano wao, anakumbuka mambo mabaya zaidi kuliko mazuri.
“Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alikiambia...
Baada ya Joh Makini kutambulisha kichupa na single yake mpya ‘Nusu Nusu’ wiki chache zilizopita, mkali mwingine kutoka Weusi, G-Nako a.k.a G-Warawara amedondosha video na ngoma mpya inayoitwa ‘Sichezi Mbali’. Audio imefanyika Noizmaker na video imefanywa na Cyne Studios.
CHEKI VIDEO NYINGINE HAPA CHINI
(adsbygoogle = window.adsbygoogle...
PICHA: Wolper, Mr Blue na Nyandu Tozi, Kunani?!!
Kupitia ukurasa wake matandaoni, Staa wa Bongo Movies, Jackqueline Wolper ameshare picha hizi akiwa na mastaa wa Bongo Fleva, Mr Blue na Nyandu Tozi na kusema kuwa wapo kazini.
Wolper hakuweza kuweka wazi kama...
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally ambaye ni mama wa mtoto mmoja , hivi juzi kati aliwaacha njia panda mashabiki wake mtandaoni baada ya kuweka picha hiyo akionyesha ujauzito na mpenzi wake akiwa ana ubusu.
Riyama alibandika picha hiyo kuandika “………?” kitu ambacho kiliwafanya...
Hot Radio presenter from Tanzania, Diva Loveness Malinzi wants to have a 2nd child with American superstar Chris Brown. Diva believes her child will be so cute if the father is Chris Brown. Through instagram the controversial presenter who is currently dating...
Lulu Atamani Kuimba Injili
Staa wa bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema anatamani sana siku moja kuimba muziki wa injili kwa vile anacho kipaji cha uimbaji.
Staa huyo aliyasema hayo wakati akihojiwa kwenye kipindi cha televisheni...
Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.
Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au...
BASATA Yalaani Tabia Chafu na Isiyo na Maadili Iliyooneshwa na Msanii Shilole Kwenye Onesho Lake Nchini Ubeligiji
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za Msanii Zuwena Mohamed...
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.
“Watu hawana dogo, ukiwa karibu na mtu basi utaambiwa mpenzi wako, Nay hakuwahi kuwa...
Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni mjamzito.Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.
Wewe je, unamaoni...
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.
“Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote...
Through instagram actress Irene Uwoya shared these hot pics of herself being in a bathtub with no piece of cloth to cover her hot chest............
...
Diamond Platnumz na Nay wa Mitego wameamua kuyageuza maumivu yao ya kutoswa na wapenzi wao kwenye ngoma yao ‘Mapenzi au Pesa’ inayotarajiwa kutoka leo.
Wawili hao wamerekodi vipande vifupi vya video wanavyoviweka kwenye Instagram wakijibizana kuhusu mapenzi na pesa na...
Fareed Kubanda aka Fid Q ni mtu wa mambo tofauti. Ndio maana kuanzia mwaka huu na miaka mingine, hatotumbuiza kwa kutumia CD, bali atakuwa akichana mistari na live band.“Nimeona nimekuwa kwenye muziki kwa muda mrefu and takriban mwaka wa 15 kila siku tunapanda stejini pale tunaperform na kwa CD na nini, najiskia tu sasa hivi acha tu niwe mwanamuziki...
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anaendelea vizuri baada yakupigwa chupa na kijana mmoja usiku ya kuamkia jana wakiwa kwenye show ya mwanamziki Mabeste aliyoiandaa ili kuchangisha pesa kwa ajili ajili ya matibabu ya Mkeo.Leo kupitia ukurasa wake mtandaoni, kajala ameweka picha hiyo hapo juu na kuandika “Maisha yanaendelea au sio......”...
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada...
Lile fumbo tuliokuwa tumefumbiwa na Mwanadada Mrembo na Mjasiria Mali Jokate la mtu kumyima usingizi sababu ya Penzi lake limefumbuliwa na imebainika kuwa mtu huyu ni Mwanamuziki Ali Kiba...Ila Wadakuz wa Ubuyu wanasema huenda watu hawa ni wapenzi wa siri wa muda mrefu kwani wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara sehemu za Starehe na Jokate mara...